Kare

Lyrics

(Frasha)
 mazee nilipatana na huu dame
 akani-show hakuna maMC wakali
 so... nikampeleka Decimal
 akapatana na Punit
 alafu Musyoka akanipea hii track
 twende kazi
 1 (Frasha)
 Frasha, mi mkali
 nilianzanga mziki tu na Nakitare
 akajikalisha basi tu na dakitare
 si unajua Frasha nakuwaga dakitare
 but mtaani, mi ni ordinary
 si wa geti kali, boss mi mnare
 ndio maana tudame tunashindanga kerere
 wanataka mpango wa kando ati niwadare
 boss, hey, nisha-mare
 niko mdogo mdogo tu kwenye gare
 mmm, ha? Si usare
 nikisonga mbele wako pare pare
 pale pale? Eh, pare pare
 si tuko kwenye club tuna-party party
 parerezo yaani pare pare
 mnarusha mizuga tu pare pare
 maishani mwangu
 sijapata mkare, mkare, mkare
 maishani mwangu
 sijamwona mkare, mkare, mkare
 2 (Bon'eye)
 Bon'Eye jemedari mkare
 mistari generale kare
 generali tangu kale, kare
 kikundi serikale, yaani
 siri kali tangu kale, kare
 haijalishi kale gani kare
 kazi zote karekare, kare
 nakatika ile hali kare
 cash and carry in a hurry, kare
 carry forward, Kari Francis, haree
 safari za mbalimbali, kare
 biashara mbarembare, kare
 hatuchoki na hii safari, kare
 sauti za kinyumbani, kare
 wekelea kwa dakitare, kare
 ya dakitare na ni kare ke!
 maishani mwangu
 sijapata mkare, mkare, mkare
 maishani mwangu
 sijamwona mkare, mkare, mkare
 3 (Buganya)
 Buganya nina sware
 madada kibao, wote shware
 wanamuka mbele yangu, na ni sare
 wanataka leta noma na kucheza ngware
 kwangu kuja nje kuna mbwa kare
 nyumba ndani huko pata bibi kare
 mkare... mkare... mkare na si mkale
 nimeng'ara Karl Kani gani toka kare
 nimechapa toto ware ware bado kare
 kama umeshindwa basi reta ture
 na uongeze ture ndio mi nikure
 kuja turerembe kure tuko rembe
 nyewe kowa manyu wanataka rembe
 wanakaa nakatika kama wembe
 Otwabe cheki Buganya kitambe
 maishani mwangu
 sijapata mkare, mkare, mkare
 maishani mwangu
 sijamwona mkare, mkare, mkare
 

Audio Features

Song Details

Duration
04:16
Key
7
Tempo
94 BPM

Share

More Songs by P-Unit

Similar Songs