Tunafanana

5 views

Lyrics

Mtoto akilia dede
 Mimi ndo baba yake nimbebe
 Mahabuba! Mahabuba
 woyowo woyowo
 This is Barnaba boy classic
 Mrembo nataka nikusimulie hadithi
 Ujue wapi nimetoka
 Na wapi ninakwenda
 Tofauti kati ya we na wale
 Wewe ni mkarimu sana aaah
 Cha kwanza bonge la toto (toto)
 Hauna maringo, haunaga isidingo
 Mishe za kumake bingo
 Umeridhika na mimi
 Salamu sigombi baby
 Wasalimia kwa furaha
 Mana nyumbani utarudi
 Nataka uwe wife material
 Tunafana yeee (uyee)
 Kama mapacha kama mapacha
 True love davee
 Tunafananaje (darling)
 Tabia na mwenendo matendo
 Tunafanana yee (you mamacita like)
 Look at me and I'm look at you baby
 Tunafanana jee
 Nataka uwe wife material
 Hata vitabu vya dini vimeandika
 Mwanaume kuchakarika
 We langu jukumu nimejivika
 Kimwali
 Kwenye shida, ye ndo wangu swahiba
 Sweet love da eeeh (sweet love da eeeh)
 Ohh oh baby (ohh oh baby)
 Nikafanye utingo
 Niwe konda nikamate bingo
 Alimradi nikutunze kimwali
 Cha kwanza bonge la toto (toto)
 Hauna maringo, haunaga isidingo
 Mishe za kumake bingo
 Umeridhika na mimi (toto)
 Salamu sigombi baby
 Wasalimia kwa furaha
 Mana nyumbani utarudi
 Nataka uwe wife material
 Tunafana yeee (uyee)
 Kama mapacha kama mapacha
 True love davee
 Tunafananaje (Darling)
 Tabia na mwenendo matendo
 Tunafanana yee (my everything)
 Look at me and I'm look at you baby
 Tunafanana jee
 (Look at you my darling)
 Mtoto akilia dede (akilia dede)
 Mimi ndo baba yake nimbebe (nimbebe)
 Mahabuba! Mahabuba
 Oyo! woyo! woyo!
 Mtoto akilia dede (mtoto akilia dede)
 Mimi ndo baba yake nimbebe (yake nimbebe)
 Mahabuba! Mahabuba
 Oyo! Woyo! Woyo!
 Nataka uwe wife material
 Tunafana yeee (tunafanna baby)
 Kama mapacha kama mapacha
 True love davee
 Tunafananaje (Darling)
 Tabia na mwenendo matendo
 Tunafanana yee (my everything)
 Look at me and I'm look at you baby
 Tunafanana jee
 You're special in my life
 Nataka uwe wife material
 Look at you my darling
 Noo
 This is barnaba boy classic (you are my everything)
 I love you (you are my everything)
 

Audio Features

Song Details

Duration
03:41
Key
1
Tempo
92 BPM

Share

More Songs by Barnaba

Similar Songs