Trapped Inside the Planet of the Roller-skating Bees
2
views
Lyrics
Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani Mi nataka twende tukaone daddy na mummy Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani Mi nataka twende tukaone daddy na mummy Tukaserebuke serebuke serebuke (mimi na wewe) Tukaserebukke serebuke serebuke (mimi na wewe) Ok, after Dodoma nliamua sitaipenda, mabinti wengi, nao walinitendaNikaamua ni yeye, yule wa kiwewe, tamaa nayo nyingi akaamua anicheze(Ungejua anavyo kuchukia) Naskia biblia husema, yule alikutenda, nafasi msamehe, kama unampenda Nikienda zangu, we jua natenda wema, npe muda kwa jiko nione kama ntakua dema(We ni mkali mkali mkali) Na nilichoka sana na ubachelor, nara nakula kwa hoteli, kanjo ametokeaSoup ya nyama transparent, maji imeongezewa, nguo zangu chafu mgongo umebembeaKuja nami, nmeamua tutaelekea, mum na dadwanatongojea, kwako najitetea Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani Mi nataka twende tukaone daddy na mummy Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani Mi nataka twende tukaone daddy na mummy Tukaserebuke serebuke serebuke (mimi na wewe) Tukaserebukke serebuke serebuke (mimi na wewe) Haupendi, vile nakuficha ka siri, twende we-we-western niku-intro ka bibiNdwele, yaliyopita si unajua, nywele, nalike body shape na nyuma(We ni mzuri hauna kifani) Na ukipika unamake hilton ikae ka kibandaSupu tick; sijui kama ulitumia nyanyaMtradition, sofa na kitambaa, home to soko, mtaani hapendi kuranda(Aki ni wewe kweli) Past one year, matha amekua on my caseAnajua the obinna's au huanga nataste tudame ivi ivi (ivi ivi)So beba bag bibi, tukutane jiji, natamani mtoi aseme gigigigiTwende twende mami, jibu inabidi Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani Mi nataka twende tukaone daddy na mummy Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani Mi nataka twende tukaone daddy na mummy Tukaserebuke serebuke serebuke (mimi na wewe) Tukaserebukke serebuke serebuke (mimi na wewe) Bridge Uonaombwa basi baby kubali, saa hii mambo shwari, ntakulinda kwa hali na mali Wazazi wameweka tick, we jua ni kwishaWe frame mi canvas, tumekamilisha pichaNimekamilika, aslimia zaidi ya mia, unasitasita, ka unapenda wacha ficha ficha Twende, tumake it official, kama Mrs.mimi, nikuapishe Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani Mi nataka twende tukaone daddy na mummy Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani Mi nataka twende tukaone daddy na mummy Tukaserebuke serebuke serebuke (mimi na wewe) Tukaserebukke serebuke serebuke (mimi na wewe)
Audio Features
Song Details
- Duration
- 02:52
- Key
- 6
- Tempo
- 100 BPM